Kupatana nyumba za kupanga

Dar es Salaam. Karibu nusu ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wanaishi katika nyumba za kupanga ambazo pamoja na kuwa ni chanzo cha mapato kwa wanaozimiliki, kwa upande mwingine ni karaha kwa wapangaji. Utafiti uliofanywa kwa wapangaji pamoja na madalali katika maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam umebaini kadhia wanazokabiliana nazo zikiwamo masharti makali na mikataba bubu ya upangaji.

Miongoni mwa kadhia hizo ni pamoja na kufukuzwa kwenye nyumba kabla ya mkataba kwisha, kupewa masharti magumu kama vile kukataa wapangaji wenye watoto, kupika aina fulani ya chakula na wamiliki wengine wakichagua wapangaji kutokana na dini zao au makabila.

rangi nzuri za kupaka nje ya nyumba

Matatizo mengine ni foleni za kwenda chooni ambacho pia ni bafu, ratiba za usafi, matatizo ya maji na nyumba kutokufikika kirahisi. Katika maeneo ya Tandale, Kinondoni na Vingunguti ilibainika kuwa wenye nyumba ni wepesi kuwageuka wapangaji hata kama waliandikishiana mkataba. Dalali mwingine, Saleh Mkumbila alisema kuna nyumba ambazo wanataka wapangaji wa kike tu kwa sababu wapangaji wa kiume wanaweza kuwarubuni mabinti wa wenye nyumba. Mkazi wa Magomeni kwa Bibi Nyau, Selemani Kaisi maarufu Choloalisema ni kawaida kukutana na masharti mazito ya kutatanisha kutoka kwa wenye nyumba.

Mkazi wa Barafu, Kigogo Mburahati, Anna Yohana alisema wapo wenye nyumba ambao wanataka wapangaji wanaume ambao hawajaoa na wanafanya kazi. Katika biashara ya kupanga nyumba na kupangisha, kundi la madalali linatajwa kuongoza kwa utapeli. Dalali mmoja anaweza kuwapeleka watu 10 katika chumba kimoja kwa siku moja, kila mtu kwa muda wake na kila mmoja anampa Sh5, ya udalali, kwa siku atakusanya Sh50, Mmoja wa madalali kutoka Sinza, Chesco Athanas alisema huwa wanawatoza wateja fedha ya kuwapeleka kuangalia vyumba kufidia usumbufu na muda wao.

Hata hivyo, alisema yapo baadhi ya maeneo kama Buza Barabarani, Pile, Temeke Mwisho, Mwembe Yanga ambako kuna nyumba nzuri lakini kodi zake ni kubwa kutokana na kuwa na kuwa salama zaidi ikilinganishwa na sehemu nyingine. Katika maeneo mengi ambayo Mwananchi iliyatembelea wenye nyumba waliweka masharti ya mpangaji kuwahi kurudi, kukataa ulevi kupita kiasi na masharti kwa vijana ambao hawajaoa. Huko Sinza, madalali wanayataja masharti mbalimbali wanayopata wapangaji wa maeneo hayo kuwa ni kama vile kutochoma ubani.

Wamiliki wa nyumba hasa wa dini ya Kikristo wengi kwao hili ni tatizo kidogo na kwa wenye nyumba wenye msimamo mkali wa dini ya Kiislamu wengi wanakataza familia kubwa na unywaji wa pombe kupita kiasi. Mmiliki wa nyumba iliyoko Tabata, Mawenzi, Kashushu Kisala alisema masharti kwa mpangaji ni muhimu wakati wa kuingia mkataba kwani bila masharti, nyumba haitadumu, haitakuwa na heshima wala kodi haitapatikana kwa wakati.

Matatizo ya nyumba na upangaji yaliwahi kufikishwa bungeni, hasa kwa kipengele cha mpangaji kutakiwa kulipa kodi ya mwaka au miezi sita kwa mkupuo wakati mapato yake, hasa mshahara, yanapatikana kwa mwezi. Katika muswada huo, January ambaye sasa ni Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, alitaka sheria hiyo iweke utaratibu na udhibiti wa sekta ya upangaji wa nyumba nchini kwa ujumla. Kadhalika, alitaka sheria hiyo iwezeshe kuanzishwa kwa mamlaka ya usimamizi wa sekta ya nyumba, real estate regulatory authority Rera.

Hata hivyo, hoja yake binafsi ilipingwa na Serikali na kukataliwa na Bunge. Aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka alisema pamoja na kuwa hoja hiyo ni ya msingi, Serikali inahitaji muda kwanza kumaliza sera ya nyumba ili vyombo stahiki vifanye kazi yake kwa kuangalia sheria gani na uhakiki utakaowekwa ili suala hilo lishughulikiwe kwa haraka.

Ramani za Nyumba

Mwanzo Habari Kitaifa. Pia Soma. RC Mghwira aziangukia familia hofu maambukizi ya corona Kilimanjaro Mawaziri 13 wanawake wanaopambana na corona Afrika Jinsi polisi wa Panama wanavyotumia nyimbo kuwatia moyo wananchi waliokuwa majumbani - VIDEO Sokoine akumbukwa kwa uadilifu miaka 36 baada ya kifo chake Askari akutwa mtaroni akiwa amefariki Kanisa Katoliki Sri Lanka lasamehe walioua watu Mamlaka ya Mapato Tanzannia TRA imetangaza mpango wa kuanza kukusanya kodi kwenye nyumba za kupangisha ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kupata fedha ambazo Serikali ilikuwa haipati kutoka kwenye vyanzo vyake.

Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa TRA, Richard Kayombo aliwaambia waandsihi wa habari jana jijini Dar es Salaam kuwa Mamkala hiyo itafanya uhakiki wa nyumba za kupanga na kubaini gharama za kodi. Aliwataka wananchi wanaopanga katika nyumba hizo kuhakikisha wanashirikiana na TRA kueleza bei ya nyumba na kuepuka kufanya udanganyifu ili wasikumbwe na mkono wa sheria.

Kayombo alieleza kuwa lengo la Mamlaka hiyo ni kuhakikisha Serikali inapata kodi yote ambayo imekuwa ikikosa kutoka kwa vyanzo mbalimbali ikiwa ni pamoja na nyumba. Kayombo alieleza kuwa mwezi Julai, Mamlaka hiyo ilikusanya kiasi cha shilingi trilioni 1. Polisi wajipanga kumzuia Lissu kutumia mitandao ya kijamii. Mwakyembe atetea Serikali kukata rufaa ndoa za utotoni. Like this: Like Loading You might also like.

Editor Picks. Luc Eymael athibitisha hitaji la maproo wanne Michezo 6 days ago Comments Off on Luc Eymael athibitisha hitaji la maproo wanne. Mwalimu mkuu atuhumiwa kumpa mimba mwanafunzi wake Uncategorized 10 months ago Comments Off on Mwalimu mkuu atuhumiwa kumpa mimba mwanafunzi wake. Makala: Lowassa ataishi vipi na CCM hii?

Sababu halisi za kurudi hizi hapa.Uza au nunua kiwanja, Nyumba kwa haraka ukiwa hapa jamiihuru. Watu wanahitaji Viwanja vya kununua kama una kiwanza ingia upost humu upate mteja leo leo. Je wewe kijana kwanini usianzishe huduma ya udalali wa nyumba viwanja utengeneze pesa? Jiji la dar linapata wageni siku zote hivyo unaweza kuanza huduma ya kupangisha watu nyumba unachofanya unaongea na wenye nyumba za kupangisha wanakupa taarifa za vyumba au nyumba za kupangisha kisha unakuja hapa jamiihuru.

Ukimpangisha mtu chumba anakulipa kodi ya mwezi mmoja. Kazi ya udalali haihitaji mtaji wa pesa, ni simu na vifurushi tu.

kupatana nyumba za kupanga

Dodoma ni jiji sasa hivyo hata mambo ya kuuza viwanja na kununua tunatumia mitandao, Tumia mtandao wa jamiihuru. Hata mashamba pia unaweza kuuza hapa jamiihuru. Je unauza nyumba popote pale Tanzania basi tumia vichwa vya habari kama hivi hapa chini kuuza nyumba yako ndani ya siku moja umpate mteja. Tumia mtandao wa jamiihuru. Comment reported successfully. Post was successfully added to your timeline!

You have reached your limit of friends! File size error: The file exceeds allowed the limit MB and can not be uploaded. Unable to upload a file: This file type is not supported. We have detected some adult content on the image you uploaded, therefore we have declined your upload process. Live Style Viwanja vinauzwa, Nyumba zinauzwa hapa jamiihuru.

Share to:. Wauzaji wa viwanja na nyumba wanatumia jamiihuru. Njoo humu uuze siku moja tu www. Read more. Usajiri wa blog TCRA wasitishwa kwa muda kesi ikiendelea mahakamani. Uteuzi wa raisi magufuli april huu hapa.

A sloppy offense consists of selling price Eagles 2 immediately game titles. How to watch By Afisa Elimu. By Afisa Elimu. By Ursula Dickinson.

By support. Share post on a group. Share to a page.Thank you for your interest in helping us moderate questionable content on Lulu. If you need assistance with an order or the publishing process, please contact our support team directly.

NYUMBA ZA KUPANGA NA KUUZWA

Below is the information that should be present in these notices. It is designed to make submitting notices of alleged infringement to us as straightforward as possible while reducing the number of notices that we receive that are fraudulent or difficult to understand or verify.

To file a notice of infringement with us, you must provide us with the items specified below.

kupatana nyumba za kupanga

Please note that you will be liable for damages including costs and attorneys' fees if you materially misrepresent that the material is infringing your copyright. Accordingly, if you are not sure whether material infringes your copyright, we suggest that you first contact an attorney. This notice and any attachments we receive will be forwarded to the alleged infringer, who will then have the opportunity to file a counter notification pursuant to Sections g 2 and 3 of the DMCA. Should a properly filed counter notification be filed, you will be notified and have 10 business days within which to file for a restraining order in Federal Court to prevent the reinstatement of the material.

All required fields must be filled out for us to be able to process your form. We help people distribute information and art spanning a wide range of subject matter while providing a safe, friendly, respectful, and serious site for all content creators. Since our community serves a broad range of ages, we do not encourage content that could make a majority of our users uncomfortable. If you are sure that this product is in violation of acceptable content as defined in the agreement or that it does not meet our guidelines for General Access, please fill out the form below.

It will then be reviewed by Lulu Staff to determine the next course of action. Identify each web page that allegedly contains infringing material.

This requires you to provide the URL for each allegedly infringing result, document or item. I have a good faith belief that use of the copyrighted materials described above as allegedly infringing is not authorized by the copyright owner, its agent, or the law. I swear, under penalty of perjury, that the information in the notification is accurate and that I am the copyright owner or am authorized to act on behalf of the owner of an exclusive right that is allegedly infringed.

Your digital signature is as legally binding as a physical signature. If you use a digital signature, your signature must exactly match the First and Last names that you specified earlier in this form.

This form does not constitute legal advice and nothing that you read or are provided on this web site should be used as a substitute for the advice of competent legal counsel.

If someone believes in good faith that a Lulu Account Holder has infringed their copyright, they can request that we take down the infringing material by filing a DMCA Notice.For Sale. All necessary documents of land ownership are available. A residential plot located at Njedengwa high density in Dodoma City is listed for sale, Plot located at suitable environment and availability of important social services such as water and electricity. Unifinished house is placed for sale, Is the family house with four bedrooms all are self contained, Located at Mbweni Dar es salaam, All Documents of land ownership are available.

Plot inauzwa ipo Dodoma eneo la Makulu imepimwa na ina hati, ipo umbali wa Km. Viwanja kwa ajili ya makazi na biashara vinauzwa vinapatikana Chamwino ikulu Mkoani Dodoma, Vinafikika kwa urahisi, Huduma za maji na umeme ipo karibu piaSquare meter moja ni TZS Ukimaliza kulipa unapatiwa hati ya kiwanja.

For Rent. Two house located at the same compound is listed for Rent, One is the family house with 3 bedrooms, and the other is small self contained house with one bedroom and sitting room, location is Bahari Beach,Dar es salaam M from the ocean beach, Near Silver Sand hotel.

Rent price for family house is TZS […]. A large warehouse of capacity to contain tonnes and more located at mbauda in Arusha is placed for Rent, Located beside the highway.

House for rent: Its a new house for a family with four bedrooms and and a large area for parking and garden, Its fence connected with electrical wire for security. Rent is per annually. A studio home for a bachelor a house of siting room and a master bedroom, Fully furnished with a modern furniture. A luxurious big family house list for rent, Full furnished and and connected with security appliances, All payment are annually.

A commercial building with 12 room spaces for business. All required services such as electricity,water and security are available. Home Services.

Vyuo vyachangamkia kupanga nyumba za NSSF

For Rent For Sale. Ntyuka, Tanzania. Lanywela Mbakio. Kigamboni, Tanzania. Dodoma, Tanzania. Bhuke Arojo.Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma PSSSFuko katika mchakato wa kubadili masharti ya mikataba ya mauzo ya nyumba zake zilizoko Buyuni Chanika jijini Dar es Salaam na miongoni mwa masharti yatakayobadilishwa ni muda wa marejesho. Nyumba hizo ziliuzwa kwa watumishi wa Serikali chini ya utaratibu wa mteja kupanga na kisha kufanya marejesho hadi deni lake litakapomalizika.

Hata hivyo, Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge, Sera, Ajira, Vijana na wenye ulemavu, Jenista Mhagama alikaririwa juzi akiamuru kushushwa kwa gharama za nyumba za miradi baada ya kubaini zinauzwa kwa bei kubwa na haziendani na uhalisia wa soko. Akizungumza na Mwananchi jana, Meneja wa Makazi Estate Manager wa mfuko huo, Benedict Mahona alisema kwa sasa muda wa kufanya marejesho hadi kumaliza deni ni miaka Alisema utaratibu utakaoweka masharti yatakayotumika katika mikataba ya mauziano utakamilika mapema na watu watafahamishwa jinsi ya kuzinunua.

Akihitimisha ziara katika mradi huo, Mhagama alisema alifikia uamuzi wa kupunguza bei ya nyumba hizo kutokana na nyumba nyingi kutonunuliwa, gharama za mfuko kuzitunza zinaongezeka huku zikiendelea kuharibika. Alisema mradi huo wa nyumba za gharama nafuu katika eneo la Buyuni Chanika ambao una nyumba kati ya hizo, hazijapata wanunuzi na malipo yake hayajakamilika.

Mhagama alisema mdodoro wa ununuzi wa nyumba hizo umesababisha makato ya urejeshwaji wa kila mwezi kuwa juu na watumishi wengi kutomudu gharama au bei ya nyumba hizo.

kupatana nyumba za kupanga

Alisema nyumba zenye vyumba viwili vya kawaida iliyokuwa inauzwa kwa Sh Mhagama alisema nyumba zenye vyumba vitatu vya kawaida iliyokuwa ikiuzwa kwa Sh Mhagama alitoa mwezi mmoja ili watu wajipange kununua nyumba hizo na kuongeza kuwa soko lake halifungwi kwa watu binafsi nao wanaruhusiwa kuzinunua.

Waziri huyo alionya kuwa nyumba zikikaa muda mrefu zitageuka kuwa magofu hivyo watapoteza fedha za wanachama bila sababu za msingi.

kupatana nyumba za kupanga

Alisema maagizo hayo yanahusu maeneo mengine yenye miradi hiyo nchini kama Mtwara, Tabora, Morogoro, Iringa hadi Shinyanga. Mwanzo Habari Kitaifa. Pia Soma. RC Mghwira aziangukia familia hofu maambukizi ya corona Kilimanjaro Mawaziri 13 wanawake wanaopambana na corona Afrika Jinsi polisi wa Panama wanavyotumia nyimbo kuwatia moyo wananchi waliokuwa majumbani - VIDEO Sokoine akumbukwa kwa uadilifu miaka 36 baada ya kifo chake Askari akutwa mtaroni akiwa amefariki Kanisa Katoliki Sri Lanka lasamehe walioua watu Tanzanian blog operating sincecovering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide.

Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers. Naona kama watu wanakunywa bia wakati wa kazi Vipi huo utaratibu? Inaonekana wengine watakuwa wakiendesha magari wakitoka hapo! Mdau kuwa makini na unachoongea sio kila kinywaji chenye rangi ya njano Ni bia Muendelee na ujenzi wa nyumba bora zinazoweza kupangishwa kwa gharama nafuu. Sijui walichekewa wapi! Walitaakiwa mambo haya zamaaaaani. Na wangekuwa ndiyo wapangishaji wakubwa hapa Arusha.

Nyumba za kijenge hakuna walichofanya tangu ziachwe na iliyokuwa jumuiya ya Afrika Mashariki. Viwanja vya michezo hata kuviona tu vinavyoharibika utadhani hakuna uongozi. Sijui tumelaaniwa?! Kuwa mstaarabu Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakihakikisha wanapata taarifa na matukio muhimu katika uzinduzi katika uzinduzi wa nyumba mpya Apartments za Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha AICC.

Nairobi Apartment Tour: CHEAPEST Apartment: Living in Nairobi,Kenya

Mshirikishe mwenzako:. Michuzi Blog Tanzanian blog operating sincecovering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide.

Kuna Maoni 5 mpaka sasa. Anonymous September 17, Anonymous September 18, Anonymous September 19, Subscribe to: Post Comments Atom.